Uchambuzi wa Soka

Kumi bora la wachezaji wa mpira wa kikapu

Alvin-mchezaji-wa-burundi-wa-mpira-wa-kikapu
iliandikwa 27/07/2025 picha-ndogo-ya-mwandishiNa Twaha Ahmadi 2,456

Alvin Ninziza: Mwendesha Mpira wa Dhahabu wa Kern na Burundi

Katika anga ya mpira wa kikapu nchini Burundi, jina la Alvin Ninziza linatajwa kwa heshima kubwa. Akiwa mchezaji wa klabu ya Kern BBC, Alvin ameonyesha uwezo wa kipekee katika mashindano ya kitaifa na kimataifa, akijulikana kwa kasi, dribbles za kuvutia, na uwezo wa kufunga pointi kwa ustadi wa hali ya juu.

Takwimu za Mashindano ya FIBA Afrobasket 2021

  • Wastani wa Pointi kwa Mechi: 9.6
  • Rebounds: 4.8
  • Assists: 1.8
  • Ufanisi (EFF): 10.4

Alifunga 22 pointi dhidi ya Eritrea, akiongoza Burundi kwa ushindi mkubwa, Alionyesha kiwango cha juu cha field goal accuracy hadi 60% katika baadhi ya mechi

🌟 Mafanikio ya Kitaifa

  • πŸ† Mchezaji Bora wa Mashindano ya Kitaifa 2018
  • πŸ† Mshindi wa mashindano ya dribbles na 3-point contest kwenye All Stars Games 2018
  • πŸ† MVP wa Playoffs akiwa na klabu ya Kern
  • πŸ† Mchezaji mwenye ushawishi mkubwa katika kuifikisha Kern kwenye fainali za ACBAB

Kauli Maarufu

β€œSiri yangu ni mazoezi binafsi na ukomavu wa kiakili. Ndoto yangu ni kutwaa ubingwa nikiwa na Kern.”

Ushawishi kwa Vijana

Alvin ni mfano wa mchezaji anayejituma bila kuchoka. Anaamini katika kujifunza kila siku na kuwa kiongozi kwa vitendo. Vijana wengi wa Burundi wanamwona kama kielelezo cha mafanikio kupitia nidhamu na bidii.

Toa Maoni