Uchambuzi wa Soka

Kumi bora la wachezaji wa mpira wa kikapu

picha ya nijimbere_willy mchezaji wa mpira wa kikapu
iliandikwa 27/07/2025 picha-ndogo-ya-mwandishiNa Twaha Ahmadi 2,456

Willy Nijimbere: Mkongwe wa Mpira wa Kikapu Burundi

Katika historia ya mpira wa kikapu nchini Burundi, jina la Willy Nijimbere linabaki kuwa miongoni mwa wachezaji walioweka alama ya kudumu. Akiwa na uzoefu wa kimataifa na kitaifa, Willy amechezea vilabu mbalimbali ikiwemo Urunani BBC na Betway Power ya Uganda

Wasifu wa Mchezaji

Jina Kamili: Willy Nijimbere

Tarehe ya kuzaliwa 5 Desemba 1980

Nambari ya Jezi: 3

Raia: Burundi

Mashindano Makubwa:

  • FIBA Africa Championship for Men (2007)
  • FIBA Africa Cup for Men's Clubs (2013, 2017)

Ushawishi na Urithi

Willy Nijimbere ni mfano wa mchezaji aliyejitoa kwa taifa lake. Uwepo wake katika timu ya taifa ya Burundi na mashindano ya kimataifa umeinua hadhi ya mpira wa kikapu nchini. Anaendelea kuwa kielelezo kwa wachezaji chipukizi wanaotamani kufika mbali.

Toa Maoni