US President Donald Trump holds a meeting in the Situation Room at the White House in Washington,
iliandikwa 24/07/2025 picha-ndogo-ya-mwandishiNa Twaha Ahmadi 2,456

Bomb First: Sera ya Kijeshi ya Trump Yazua Taharuki Duniani hasa umarekani

Katika miezi sita ya kwanza ya muhula wake wa pili, Rais Donald Trump ameanzisha sera ya kijeshi inayotegemea mashambulizi ya haraka ya anga — akieleza kuwa ni njia ya “kuleta amani kupitia nguvu”. Lakini mashirika ya haki za binadamu na wachambuzi wa kimataifa wanahoji ufanisi wake, huku vifo vya raia vikiongezeka na diplomasia ikionekana kudhoofika.

Je, Sera Hii Italeta Amani?

Licha ya kauli ya Trump kuwa ni “rais wa amani”, wachambuzi wanasema mashambulizi haya yanaweza kuongeza migogoro ya muda mrefu badala ya kuimaliza. Hakuna mafanikio makubwa ya kidiplomasia kuhusu:

  • Vita vya Gaza
  • Mgogoro wa nyuklia wa Iran
  • Vita vya Ukraine
Toa Maoni